Pande mbili hasimu Sudan zakubaliana. Taarifa zinasema Pande hasimu zinazowania madaraka nchini Sudan zimetia saini makubaliano ya kuwalinda raia na kuhakikisha huduma za msaada wa kiutu zinawafikia wenye uhitaji bila ya vizingiti. Read more about Pande mbili hasimu Sudan zakubaliana.