Kilichoelezwa kuhusu mgomo wa wafanyabiashara
Hivi karibuni umetokea mgomo wa wafanyabiashara kwenye soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam, ambalo ndiyo soko kuu la bidhaa mbalimbali za jumla na rejareja zinazouzwa nchini na hata kwenye baadhi ya nchi jirani.