Mawakili wasio waadilifu wachukuliwe hatua
Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Chama Cha Mawakili Tanganyika (TLS) na Kamati ya Mawakili kuchukua hatua kali za kinidhamu na kisheria dhidi ya mawakili wachache wanaoharibu heshima ya taaluma ya sheria kwa kukosa uadilifu na maadili mema