Mch Mackenzie kizuizini kwa wiki tatu zaidi Mahakama nchini Kenya imeamuru leo mhubiri Paul Nthenge Mackenzie anayetuhumiwa kwa vifo vya zaidi ya watu 130 awekwe kizuizini kwa wiki tatu zaidi. Read more about Mch Mackenzie kizuizini kwa wiki tatu zaidi