Wawili wakamatwa na mali za wizi Manyara

Jeshi la Polisi Mkoani Manyara, linawashikilia Mohamed Said na Diana Lozi wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kwa tuhuma za kukutwa na fedha halali za kitanzania zinazohisiwa kuwa ni za wizi na simu za mkononi 27 kwenye nyumba ya kulala wageni mjini babati

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS