Umoja wa mataifa walaani mauaji eneo la Gaza

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani kuuawa kwa raia katika eneo la Gaza kwa kusema ni kitendo kisichokubalika na kuzitaka pande hasimu katika eneo hilo kujizuia haraka na vurugu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS