Lissu akerwa na ahadi ya nusu Mkate
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amefichua siri ya mazungumzo ya Maridhiano yanayosimamiwa na Mwenyekiti wake Freeman Mbowe dhidi ya Serikali kuwa ni ahadi ya chama hicho kupewa wabunge kwenye uchaguzi ujao.