Trump akutwa na hatia ya unyanyasaji kingono.

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump

Baraza la wazee wa mahakama ya mjini New York limemkuta rais wa zamani wa Marekani Donald Trump na hatia ya kumnyanyasa kingono na kumchafulia jina mwandishi wa habari E. Jean Carroll.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS