Mwandishi wa Ufaransa auawa Ukraine Shirika la Habari la Kimataifa la Ufaransa A FP limesema mwandishi wake Arman Soldin ameuwawa kwa shambulio la roketi karibu na mji wa Bakhmut mashariki mwa Ukraine. Read more about Mwandishi wa Ufaransa auawa Ukraine