Wavuvi wafia ziwani Geita Mitumbwi Wavuvi watatu wamefariki dunia na wengine watatu wamenusurika kifo baada ya mtumbwi waliokuwa wakiutumia kuvulia samaki kuingiliwa maji na kuzama usiku wa kuamkia leo Mei 8, 2023. Read more about Wavuvi wafia ziwani Geita