Mechi iliyoweka rekodi ya magoli mengi zaidi
Mchezo kati ya AS Adema dhidi ya SO l'Emyrne uliopigwa tarehe 31 Oktoba 2002 huko Toamasina, Madagaska ndiyo mchezo ulioweka rekodi ya dunia ya kuwa mchezo uliohusisha magoli mengi zaidi baada ya kumalizika kwa SO I'Emyrne kupoteza kwa 149-0.

