Marekani yaagiza Sudan kuwekewa vikwazo. Rais wa Marekani Joe Biden ametoa agizo la kuidhinishwa kwa vikwazo dhidi ya Sudan, akisema mapigano lazima yaishe. Read more about Marekani yaagiza Sudan kuwekewa vikwazo.