Kikeke aeleza atakachokuja kufanya nchini

Salim Kikeke

Mwandishi wa siku nyingi Salim Kikeke, amesema kwamba anao mpango wa kurejea nyumbani nchini Tanzania huku akiwa na nia ya kuendelea na shughuli za uandishi wa habari akisema kwamba ni fani ambayo inaishi ndani ya damu yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS