Ambaka mtoto kwa kumpa ubuyu na 100
Mzee Katembo Mnubi maarufu kama Wajanga mwenye umri wa miaka 81, amefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Musoma kwa kosa la kumbaka mtoto wa miaka 11 anayesoma katika moja ya shule ya msingi iliyopo Manispaa ya Musoma mkoani Mara.