Mgogoro Tanga Cement "Uamuzi uzingatie sheria" Picha ya kiwanda cha Tanga Cement Mgogoro wa utwaaji kiwanda Cha saruji ya Tanga uliendelea mwishoni mwa wiki wakati wakili wa kesi hiyo akiwataka wahusika kuheshimu sheria. Read more about Mgogoro Tanga Cement "Uamuzi uzingatie sheria"