Minada na maonesho ya madini ya vito kuanzishwa Madini Waziri wa Madini Doto Biteko, amesema moja ya vipaumbele vya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2023/24 ni uanzishwaji wa minada na maonesho ya madini ya vito nchini. Read more about Minada na maonesho ya madini ya vito kuanzishwa