Apigwa marufuku kutoa msaada wa mbegu za uzazi Jonathan Jacob Meijer (41) raia wa Uholanzi amepigwa marufuku kusambaza mbegu zake za kiume baada ya kugundulika kuwa ana watoto zaidi ya 550 duniani kupitia utoaji wa msaada wa mbegu za kiume za uzazi Read more about Apigwa marufuku kutoa msaada wa mbegu za uzazi