Shambulizi la ndege Ukraine 12 wafariki Urusi imerusha makombora katika miji kote nchini Ukraini hii leo na kuua takriban watu 12 katika mashambulio makubwa ya kwanza ya anga katika kipindi cha karibu miezi miwili. Read more about Shambulizi la ndege Ukraine 12 wafariki