Iran yaikamata meli kutoka visiwa vya Marshall. Iran hii leo imeikamata meli ya mafuta yenye bendera ya visiwa vya Marshall katika eneo la maji ya kimataifa kwenye Ghuba ya Oman. Read more about Iran yaikamata meli kutoka visiwa vya Marshall.