Rais Samia apata tuzo ya Mabadiliko Sekta ya Maji Tuzo hiyo iliwasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 26 Oktoba, 2025. Read more about Rais Samia apata tuzo ya Mabadiliko Sekta ya Maji