VIDEO: Bright ampaka shombo Baraka Msanii Baraka kushoto, Kulia ni Bright. Msanii chipukizi wa bongo fleva Bright amemchana Baraka the Prince kwa kudai hana kigezo cha kumuandikia mashairi ya nyimbo zake kama jinsi anavyojinadi yeye mwenyewe Read more about VIDEO: Bright ampaka shombo Baraka