Zitto agonga mwamba urais TFF Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe Mbio za kugombea urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) zimegonga mwamba kwa Mbunge wa Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe kwa kile alichodai kuwa atashindwa kuzitumikia kofia tatu kwa wakati mmoja. Read more about Zitto agonga mwamba urais TFF