Mchenga team yaigaragaza Ukonga Warriors
Mchenga team yaichakaza Ukonga Warriors kwa'point' 115-63 katika michuano ya Sprite BBall kings hatua ya mtoano, ambapo mchezo huo umepigwa katika uwanja wa Harbours Club Kurasini Mivinjeni Jijini Dar es Salaam mapema leo.

