Sipangiwi wala sifundishwi cha kuongea - Nay
Msanii wa Bongo fleva Nay wa Mitego amefunguka mapya na kusema yeye hana muda wa kupoteza wa kupigana na msanii wa bongo 'movie' Yusuph Mlela huku akijitapa kuwa hapangiwi wala hafundishwi jambo analotaka kuongea.