Manara akazia kamba pointi tatu za Kagera
Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara (aliyefungiwa), ameendelea kukazia msimamo wake kuwa klabu hiyo ndio mabingwa wa ligi kuu soka Tanzania bara kwa msimu huu na mpaka sasa kwa kudai wanasubiri majibu kutoka FIFA muda mfupi ujao.

