Water Chilambo apiga marufuku bongo fleva Water Chilambo Aliyekuwa mshindi wa BSS Water Chilambo amesema anaomba TV na Radio kuacha kupiga nyimbo zake za bongo fleva kwa sasa na wamsapoti kwenye muziki wa Gospel ambao anaufanya. Read more about Water Chilambo apiga marufuku bongo fleva