Alichosema Zitto baada ya hoja yake kutupwa

Zitto Kabwe

Mbunge wa Kigoma mjini kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo Mhe. Zitto Kabwe amesema hajakata tamaa na kukataliwa kwa hoja yake binafsi iliyotaka kuundwe tume ya kuchunguza vitendo vya uhalifu hasa utekaji na uteswaji kwa watu wasiokuwa na hatia. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS