Bashe naye atishiwa kupotezwa
Mbunge wa jimbo la Nzega Mjini kupitia tiketi ya CCM, Hussein Mohamed Bashe amesema ametumiwa ujumbe wa vitisho kuwa yeye ni miongoni mwa watu 11 waliopo hatarini kufanyiwa vitu vibaya popote pale watakapoonekana ikiwemo kuundiwa ajali.