Roma Mkatoliki na wenzake wapatikana salama. Wasanii Roma Mkatoliki, Moni na wenzake wawili wamepatikana leo waki hai baada ya kutoweka kwa kutekwa siku ya Jumatano wakiwa katika studio za Tongwe Records. Read more about Roma Mkatoliki na wenzake wapatikana salama.