Faraja Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akikabidhi msaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam, kama sehemu ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa, Aprili 9, 2017 Read more about Faraja