Bodaboda zaua watu zaidi ya 6,000

Moja ya matukio ya ajali zinazohusisha bodaboda

Serikali imesema watu 6,529 wamefariki dunia huku watu 30,661 wakiwa wamejeruhiwa kutokana na ajali 31,928 zilizosababishwa na pikipiki maarufu bodaboda na bajaji katika kipindi cha miaka saba kati ya Januari 2010 hadi Februari 2017.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS