Zitto kupeleka hoja binafsi kuhusu Ben Sanane
Mbunge wa Kigoma mjini kwa tiketi ya Chama Cha ACT Wazalendo Mhe. Zitto Kabwe amefunguka na kusema atapeleka hoja binafsi bungeni kulitaka Bunge kufanya uchunguzi kuhusu vitendo vya utekaji, uteswaji na hata mauaji ya raia