Saizi watu wangu wamenitosa - TID
Msanii wa muziki wa kizazi kipya TID Mnyama amefunguka na kusema sasa hivi watu ambao mwanzo walikuwa wakimpa support kwenye muziki na mambo yake mengine wamemtosa na hawampi msaada wowote hivyo kila kitu anapambana mwenyewe.