Touchez awacharukia wanaomponda kuhusu Young Dee

Touchez na Young D

Prodyuza anayesumbua kwa sasa kwa kuwa na 'hits' kali sokoni, Mr T Touchez amejinasibu hana historia ya kutengeneza kazi mbovu hivyo wanaomponda kwa kumsajili 'Paka rapa' Young D watulie wasubiri kazi kubwa wanayoipika ndipo waanze kuhukumu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS