Wagombea CHADEMA watupwa ubunge EALA Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamewachagua wajumbe 7 wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania huku wagombea wawili wa CHADEMA wakipigiwa kura za 'HAPANA' na hivyo kushindwa kupitishwa. Read more about Wagombea CHADEMA watupwa ubunge EALA