Mama Salma Kikwete aanza Bunge kwa swali
Mbunge mpya wa kuteuliwa na Rais ambaye pia Mke wa Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete hii leo katika siku yake ya kwanza Bungeni baada ya kula kiapo na kuwa mbunge rasmi ameanza kazi hiyo kwa kuuliza swali.