Zitto 'ampa tano' JPM kwa uteuzi wa Kitila
Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amefunguka na kumpongeza Rais Magufuli kwa kuanza kuthamini mchango wa watu ambao wako nje ya CCM na kuwajumuisha katika serikali yake kwa lengo la kuisaidia nchi katika mambo ya maendeleo.