Bajeti ya serikali 2017/18 kusomwa Juni 15 Ukumbi wa Bunge Waziri wa Fedha na Uchumi Dkt Philip Mpango anatarajiwa kusoma Bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18 siku ya Alhamisi, Juni 15 mwaka huu. Read more about Bajeti ya serikali 2017/18 kusomwa Juni 15