Neymar apata jina jipya baada ya mabao 100 Neyma akipachika bao 100 katika mchezo Kocha wa Barcelona Luis Enrique amemwita Neymar “mnyama” baada ya mshambuliaji huyo, kufunga bao lake la 100, katika ushindi wa maba0 4-1 dhidi ya Granada. Read more about Neymar apata jina jipya baada ya mabao 100