Yanga washushwa 'presha' kuhusu hali ya Zulu
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC imewatoa hofu mashabiki na wapenzi wa timu hiyo kuhusu hali ya majeraha ya kiungo wao Mzambia, Justine Zulu, ambapo wamesema kuwa mchezaji huyo hakuvunjika mguu kama ilivyodhaniwa.