Mwenge wa Uhuru kukimbizwa kwa siku 195
Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2017 zimezinduliwa rasmi leo katika uwanja wa Kumbukumbu Mjini Mpanda mkoani Katavi na unatarajiwa kuzunguka katika mikoa yote 31, ukipita kwenye halmashauri 195 kwa muda wa siku 195.