Yanga yaichomoa Simba Kileleni Klabu ya Yanga wameibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu na kurejea kileleni wakiwa na points 56, huku Simba wakiwa nafasi ya wakiwa na point 55. Read more about Yanga yaichomoa Simba Kileleni