Serengeti Boys nao 'waigonga' Burundi Serengeti Boys Timu ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17, Serengeti Boys, leo wamefuata nyayo za kaka zao 'Taifa Stars' kwa kuipiga timu ya vijana Burundi na kuibuka na ushindi wa mabao 3-0. Read more about Serengeti Boys nao 'waigonga' Burundi