Rais Magufuli amlilia Dkt Elly Macha
Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Spika wa Bunge Mhe. Job Ndungai kufuatia kifo cha Mbunge wa Viti Maalumu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Dkt, Elly Marko Macha.