Bajeti ya ugali yasomwa Kenya, ajira zasimamishwa
Bajeti ya Kenya ya mwaka 2017/2018, imesomwa leo kinyume na inavyosomwa kawaida mwezi Juni, kutokana na uchaguzi mkuu utakaofanyika Agosti mwaka huu, huku ikitangaza kusimamisha ajira katika sekta ya umma.