VIDEO: JB afunguka kuhusu ndoa yake kutojibu
Muigizaji maarufu wa filamu Bongo, Jacob Stephen Bonge la bwana maarufu kama JB amefunguka na kuweka wazi kwamba maisha yake ya kutopata mtoto mpaka sasa kwenye ndoa yake hayajawahi kumkosesha furaha wala kuacha kumpenda mke wake.