Bomba la Mafuta
Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli akiongoza kikao cha pamoja cha mawaziri wa serikali za Tanzania na Uganda pamoja na wadau kinachozungumzia ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Uganda hadi bandari ya Tanga, kikao kilichofanyika Ikulu Dar es Salaam.