Wachimbaji wadogo walia na Rais Magufuli
Baadhi ya wachimbaji wadogo ambao wanadai kuwa ni sehemu ya wamiliki wa makontena yaliyozuiliwa katika bandari ya Dar es Salaam yakiwa na shehena ya mchanga wa madini, wameiomba serikali kupitia upya zuio hilo kwa maelezo kuwa limeathiri biashara.