Dayna ataja kinachowatia njaa wasanii
Mwanamuziki Dayna Nyange mwenye ‘hit song’ ya ‘Komela’amefunguka yake ya moyoni na kusema wasanii wanakufa njaa kutokana na hali ya maisha kuwa ngumu kwa sasa mpaka kupelekea kukosa kufanya matamasha ya kimuziki.