Makabidhiano Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye amkabidhi rasmi ofisi waziri mpya wa wizara hiyo Mhe. Harrison Mwakyembe katika ofisi za wizara hiyo, mjini Dodoma leo (Machi 28, 2017) Read more about Makabidhiano